Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Vile Unavyopaswa Kuwa: kujitambua na kuchukua hatua - Kujitambua, #1

Pr. Deogratius Samba

  • GDY Publications Company Ltd.

  • Paru le : 06/04/2023
Vile unavyopaswa kuwa ni kitabu kuhusu mabadiliko chanya katika maisha. Kitabu kinakumbusha kwamba haturithi tabia zote. Kila mmoja ana silika zaidi ya... > Lire la suite
3,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
Vile unavyopaswa kuwa ni kitabu kuhusu mabadiliko chanya katika maisha. Kitabu kinakumbusha kwamba haturithi tabia zote. Kila mmoja ana silika zaidi ya moja na zaidi ya hayo, kila mmoja ana saa 24 tu katika siku. Kwa kutumia tafiti mbalimbali, nukuu za wenye hekima na za Biblia na mifano halisi, kitabu kinaonesha jinsi kila mtu anavyoweza kujitambua na kuchukua hatua. Kwa kuzingatia mashauri katika kitabu hiki, utaweza kutimiza njozi zako ungali na nguvu na kumaliza siku za maisha yako kwa amani.
Kitabu hiki  kitaongeza hamasa na matumaini ya jinsi unavyoweza kuanza au kuboresha hatua yoyote ya maisha yako. Unaweza kuishi maisha ya mafanikio katika viwango vya kidunia na vya Mbinguni pia.

Fiche technique

  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : Contenu protégé
 Pr. Deogratius Samba - Vile Unavyopaswa Kuwa: kujitambua na kuchukua hatua - Kujitambua, #1.
Vile Unavyopaswa Kuwa: kujitambua na kuchukua hatua. Kujitambua,...
Pr. Deogratius Samba
3,99 €
Haut de page