Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Tarishi

  • Virtued Press

  • Paru le : 23/02/2024
  Kwa mujibu wa  taarifa zilizonaswa na majasusi, ni kwamba balozi za Marekani na Uingereza zipo hatarini kushambuliwa miaka kadhaa baadaye. Siku ambayo... > Lire la suite
2,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
  Kwa mujibu wa  taarifa zilizonaswa na majasusi, ni kwamba balozi za Marekani na Uingereza zipo hatarini kushambuliwa miaka kadhaa baadaye. Siku ambayo ilipangwa kwa muda mrefu, kuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani angetembelea ubalozi wa nchi yake jijini Dar es salaam.    Mashirika ya kijasusi ya nchi hizo yanaingiwa na mashaka makubwa, kutokana na habari walizopata bomu ambalo lingetumika kulipua lingetikisa jiji zima.
Ndiyo hapo sasa inabidi EASA waingilie kati suala, na inakuja kubainika chimbuko la lote ni nchini Somalia.    Majasusi watatu wanatumwa huko, akiwemo Norbert Kaila wanafanya kazi yao vyema. Shida inakuja ni pale wakitaka kuondoka, na hapo mmojawapo alishagunduliwa kuwahi kufika nchini humo hasa jimbo la Juba akafanya maafa ambayo yalipelekea awekewe kisasi.    Inageuka kuwa operesheni ambayo ilikaribia kugharimu maisha yake, ili kufanikisha wenzake wengine watoroke na mtuhumiwa waliyekuwa wakimsaka hasa. 

Fiche technique

  • Date de parution : 23/02/2024
  • Editeur : Virtued Press
  • ISBN : 8224820740
  • EAN : 9798224820740
  • Format : ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : pas de protection

À propos de l'auteur

Biographie de Hassan Mambosasa

Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza.    Elimu ya juu aliipata  chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta.    Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika  hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni. 
 Hassan Mambosasa - Tarishi.
2,99 €
Haut de page