Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Tanzi (7) Katika Maisha Yako.

Winfrid Luoga

  • JL

  • Paru le : 23/07/2021
Tanzi 7 Katika Maisha Yako ni kitabu kinachoeleza baadhi ya a mambo yanayotufanya tushindwe kuishi vizuri au kufikia hatua flani ya maisha tunayoitaka.... > Lire la suite
4,49 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
Tanzi 7 Katika Maisha Yako ni kitabu kinachoeleza baadhi ya a mambo yanayotufanya tushindwe kuishi vizuri au kufikia hatua flani ya maisha tunayoitaka. Katika kitabu hiki, utajifunza kutambua tanzi mbalimbali zinazokusonga na kuweza kuepukana nazo au kuzipunguza ili kusonga mbele katika Maisha Yako.

Fiche technique

  • Date de parution : 23/07/2021
  • Editeur : JL
  • ISBN : 8201294168
  • EAN : 9798201294168
  • Format : ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : pas de protection

À propos de l'auteur

Biographie de Winfrid Luoga

Winfrid Luoga ni kijana aliezaliwa wilaya ya Mbinga. Alianza safari yake ya masomo katika shule ya msingi Litundu iliyopo wilaya ya Mbinga Kijiji Cha Kindimba Juu na kuendelea na masomo yake ya sekondari katika shule ya sekondari Ruanda na Tosamaganga. Alijiunga na Chuo kikuu Cha Dodoma mwaka 2012 akisomea elimu maalum na uchumi na kupata shahada yake ya kwanza ya heshima mwaka 2015.
Tanzi (7) Katika Maisha Yako.
Winfrid Luoga
4,49 €
Haut de page