Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Sunjata wa Himaya ya Mandé: - Our Ancestories (Swahili)

  • Our Ancestories

  • Paru le : 25/08/2023
Ilikuwa imetabiriwa kuwa Sunjata angekuwa mfalme. Hata hivyo, wengi walitilia shaka ujuzi wa kutimiza unabii huo. Hadithi hii ni muundo wa shairi la aina... > Lire la suite
4,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
Ilikuwa imetabiriwa kuwa Sunjata angekuwa mfalme. Hata hivyo, wengi walitilia shaka ujuzi wa kutimiza unabii huo. Hadithi hii ni muundo wa shairi la aina yake ambalo limesimuliwa na washairi wa jali tangu karne ya 13. Inasimulia kuhusu mvulana mdogo aliyeshinda hali ya kutojiamini na kuwa muanzilishi wa dola ya Mandé, mojawapo ya himaya zenye utajiri zaidi kwenye historia ya Kiafrika na Mali. Hadithi ya Sunjata ni ya kuhusu uvumilivu, uthabiti, na kujitolea kwa ajili ya haki za watu. 

Fiche technique

  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : pas de protection

Sunjata wa Himaya ya Mandé: - Our Ancestories (Swahili) est également présent dans les rayons

 Ekiuwa Aire - Sunjata wa Himaya ya Mandé: - Our Ancestories (Swahili).
Sunjata wa Himaya ya Mandé:. Our Ancestories (Swahili)
4,99 €
Haut de page