Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Siri ya Kifo

  • Draft2Digital

  • Paru le : 20/03/2024
Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo,... > Lire la suite
4,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na kama vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai. Tutaifanyia uchochezi itikadi ya toharani kuwa siyo ya Kikristo.
Pia tutakuonyesha kifo cha mtu hakijapangwa juu yake. Wakati ukiwa unakazana na haya, utajikuta ukipokea uwezo wa kufunza wenzi wako: kifo ni nini and wapi kilitokea.  Pia utapokea ujuzi wa kimaandiko kujibu kama Mbinguni, Kuzimu na Gehena (Jehanamu) kweli kupo au lah. Ndipo sasa tutakufunulia upi ni urefu wa maisha ya mtu alio pangiwa mtu hapa duniani. Ufupisho huu ni finyu sana, na umeacha mambo mengi tatanishi na tete juu ya suala zima la kifo.

Fiche technique

  • Date de parution : 20/03/2024
  • Editeur : Draft2Digital
  • ISBN : 8223146841
  • EAN : 9798223146841
  • Format : ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : Contenu protégé

À propos de l'auteur

Biographie de Shannel S Silwimba

Amehitimu elimu ya chuo kikuu, na amehudumu kwa takribani miaka 25 ya kazi kusaidia wengine wafanikiwe akiwa katika nafasi ya mkuu wa idara. Katika kipindi hiki amehudumu kwenye makampuni matatu ya kimataifa. Hivyo anao uzoefu katika sekta ya kilimo biashara na usindikaji kwa miaka 7, wa kuzalisha vyakula na usambazaji kwa miaka 8, na uagizaji na uuzaji wa mafuta kwa takribani miaka 10. Kwa sasa ni mhudumu katika biashara ya kilimo cha matunda, na usambazaji huu wa vitabu.
 Shannel S Silwimba - Siri ya Kifo.
Siri ya Kifo
4,99 €
Haut de page