Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Njinga wa Ndongo na Matamba - Our Ancestories (Swahili)

  • Our Ancestories

  • Paru le : 25/08/2023
Njinga wa Ndongo na Matamba ni hadithi ya kweli ya msichana ambaye alikuwa karibu kufa wakati wa kuzaliwa, lakini kwa namna fulani alishinda vikwazo vyote... > Lire la suite
4,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
Njinga wa Ndongo na Matamba ni hadithi ya kweli ya msichana ambaye alikuwa karibu kufa wakati wa kuzaliwa, lakini kwa namna fulani alishinda vikwazo vyote na akawa malkia wa falme mbili. Akiheshimiwa kwa hekima, ujasiri, na nguvu zake, Njinga alikua mmoja wa watu mashuhuri zaidi kisiasa nchini Angola miaka ya 1600. Kitabu hiki cha watoto chenye michoro mingi kinaeleza changamoto alizokabiliana nazo tangu siku aliyozaliwa.
Ilibidi Njinga ashinde wivu wa kaka yake, kufiwa na baba yake, na uvamizi wa Wareno huku kipindi cha majaribu makubwa kilipoanza Africa. Hadithi hii ya matumaini na ujasiri inaonesha kuwa kila msichana mdogo ana uwezo mkubwa

Fiche technique

  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : pas de protection

Njinga wa Ndongo na Matamba - Our Ancestories (Swahili) est également présent dans les rayons

 Ekiuwa Aire - Njinga wa Ndongo na Matamba - Our Ancestories (Swahili).
Njinga wa Ndongo na Matamba. Our Ancestories (Swahili)
4,99 €
Haut de page