Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi

  • SAGA Egmont

  • Paru le : 27/09/2019
Bertram anaogopa kuenda kwa polisi kuwaambia kuhusu kile alichokipata kwenye jaketi aliyoiba kwani yeye ni mhalifu anayesakwa na hataki jambo lolote linalihusiana... > Lire la suite
2,99 €
E-book - audio
Vérifier la compatibilité avec vos supports
  • E-book À partir de 0,99 €
    • ePub
      0,99 €
Bertram anaogopa kuenda kwa polisi kuwaambia kuhusu kile alichokipata kwenye jaketi aliyoiba kwani yeye ni mhalifu anayesakwa na hataki jambo lolote linalihusiana na utekelezaji wa sheria. Jioni moja anajaribu kupiga simu bila kujitambulisha huku akiwa amelewa na baada ya kuvuta sigara kadhaa, ila polisi wanakataa kumuamini. Baadaye wakati Bertram anagundua kuwa maisha ya mama yake yamo hatarini, anajaribu kumuonya ila pia mama yake hamuamini.
Bertram anaanza kumfuata mama yake na kutambua kuwa anakutana na mwanamume ambaye Bertram hamfahamu. Wakati Bertram anamuuliza mwanamume yule ni nani, mama yake hatimaye anakubali kuwa yule ni mpenzi wake na kuwa wanapanga kuondoka katika eneo lile na kuanza maisha mapya pamoja. Bertram anaamua kupekua ili kujua anapoishi mwanamume huyu, na kuvunja nyumba na kuingia ili kugundua yale atakayoweza kuhusu mwanamume huyu.
Anapoangalia vitu vya mwanamume huyu, anapata mkusanyiko wa pasipoti ghushi, na picha ya mwanamume yule akiwa amevalia jaketi ile ambayo Bertram alikuwa ameiba. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

Fiche technique

  • Date de parution : 27/09/2019
  • Editeur : SAGA Egmont
  • Collection : Mnadhifishaji
  • ISBN : 978-87-26-27087-7
  • EAN : 9788726270877
  • Format : audio
  • Caractéristiques du format MP3
    • Taille : 70 584 Ko
    • Protection num. : pas de protection

Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi est également présent dans les rayons

Inger Gammelgaard Madsen et - Lust - Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi.
Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi
2,99 €
Haut de page