Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha

  • SAGA Egmont

  • Paru le : 11/09/2019
Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao... > Lire la suite
0,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
  • E-book À partir de 2,99 €
    • audio
      2,99 €
Bertram na marafiki wake watatu; Jack, Kasper na Felix, wamekamilisha masomo yao hivi punde na kutengeneza genge ndogo la muda na kujiita The Hawks. Wao wanamfanyia kazi The Handler, ambaye huwalipa baada ya wao kuvunja maduka na kuuba fanicha bainifu za bei ghali pindi The Handler anapopata agizo kutoka kwa wateja wake. Bertram anaishi yeye na mama yake pekee anayefanya kazi kama mhudumu katika mkahawa.
Mamake Bertram anaamini kuwa Bertram anapata pesa zake kutokana na kuwasilisha magazeti. Bertram hawezi kukumbuka mambo mengi kuhusu baba yake. Alikuwa na miaka saba tu wakati baba yake alishikwa baada ya kutekeleza mauaji na kuhukumiwa kifungo cha maisha kwenye jela. Siku moja Bertram anaiba jaketi ya bei ghali iliyotengenezwa kwa ngozi kwenye mkahawa ambao mama yake anafanya kazi. Anapata kitu kilichofichwa katika mfuko ulijificha chini ya bitana ya jaketi ile.
Hili linaishia kutokea kwa maafa na sio kwa Bertram tu. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

Fiche technique

  • Date de parution : 11/09/2019
  • Editeur : SAGA Egmont
  • ISBN : 978-87-26-27078-5
  • EAN : 9788726270785
  • Format : ePub
  • Nb. de pages : 23 pages
  • Caractéristiques du format ePub
    • Pages : 23
    • Taille : 72 Ko
    • Protection num. : Digital Watermarking

Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha est également présent dans les rayons

Inger Gammelgaard Madsen et - Lust - Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha.
Mnadhifishaji Tukio la 1: Orodha
0,99 €
Haut de page