Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Mbaraka Mwinshehe na Muziki wa Rumba Tanzania

Marwa

  • Draft2Digital

  • Paru le : 22/12/2023
Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ni moja ya wanamuziki nyota kuwahi kutokea Tanzania. Mwanamuziki huyu alikuwa na kipaji kikubwa cha kupiga gitaa la solo, ala... > Lire la suite
3,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ni moja ya wanamuziki nyota kuwahi kutokea Tanzania. Mwanamuziki huyu alikuwa na kipaji kikubwa cha kupiga gitaa la solo, ala zingine, kutunga na kuimba. Kutokana na utunzi wake wa nyimbo za kusisimua, alijizolea wapenzi wengi wa muziki Afrika Mashariki na ya kati, akipiga zaidi muziki wa mtindo wa rumba, mtindo ambao asili yake ni kutoka Cuba na nchi zingine za Marekani ya kusini.
Katika uhai wake, alishiriki kupiga muziki katika bendi za Morogoro jazz na Super Volcano zote za mjini Morogoro. Kitabu hiki Kinaanza kwa kuelezea kuingia kwa muziki wa rumba toka Cuba wakati huo Tanganyika na kuenea kwake, kinajikita zaidi kuelezea mchango wa mwanamuziki Mbaraka Mwinshehe Mwaruka, katika kuundeleza na kuimarisha muziki huu wa rumba, kama sehemu ya juhudi za kuinua utamaduni wa taifa jipya la Tanzania na changamoto alizopitia.

Fiche technique

  • Date de parution : 22/12/2023
  • Editeur : Draft2Digital
  • ISBN : 8223838692
  • EAN : 9798223838692
  • Format : ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : pas de protection
 Marwa - Mbaraka Mwinshehe na Muziki wa Rumba Tanzania.
Mbaraka Mwinshehe na Muziki wa Rumba Tanzania
Marwa
3,99 €
Haut de page