Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Imhotep wa Kemet ya Kale - Our Ancestories (Swahili)

  • Our Ancestories

  • Paru le : 25/08/2023
Zaidi ya miaka 4, 000 iliyopita, kule Misri ya kale, mvulana mdogo anayeitwa Imhotep alizaliwa. Tangu akiwa na umri mdogo, alifaulu na kwa haraka akatimiza... > Lire la suite
4,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
Zaidi ya miaka 4, 000 iliyopita, kule Misri ya kale, mvulana mdogo anayeitwa Imhotep alizaliwa. Tangu akiwa na umri mdogo, alifaulu na kwa haraka akatimiza unabiiImhotep alikuwa na uwezo wa kuona kupitia matatizo magumu na mara nyingi alikuwa akijaribu mbinu na majaribio mapya. Alikuwa na talanta nyingi, na kama mbunifu, Imhotep alitengeneza piramidi yenye hatua huko Sakkara - moja ya miundo ya ajabu kwenye historia ya kale.
Bado piramidi yenye hatua ipo imara mpaka leo. Kwenye kurasa za kitabu hiki, utagundua Misri anayoifahamu Imhotep, anapokua kutoka kijana mdadisi na kuwa mmoja wa wanaume waliofanikiwa zaidi, werevu na wanaojulikana sana kule Misri ya kale.

Fiche technique

  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : pas de protection

Imhotep wa Kemet ya Kale - Our Ancestories (Swahili) est également présent dans les rayons

 Ekiuwa Aire - Imhotep wa Kemet ya Kale - Our Ancestories (Swahili).
Imhotep wa Kemet ya Kale. Our Ancestories (Swahili)
4,99 €
Haut de page